Home LOCAL RAIS SAMIA AWASILI JIJINI DODOMA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU...

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI DODOMA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI MKOANI ARUSHA.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kuondoka na kurejea Jijini Dodoma mara baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 2 ya kikazi mkoani Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 18 Oktoba, 2021 wakati akitokea Mkoani Arusha.  PICHA NA IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here