Home LOCAL RAIS DKT.MWINYI AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA KUIWAKILISHA TANZANIA NCHI ZA NJE

RAIS DKT.MWINYI AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA KUIWAKILISHA TANZANIA NCHI ZA NJE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi waliopishwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tannzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo (pichani wa pili kulia) Mhe.Balozi Anisa Mbega Nchini India (katikati) MheInnocent Shiyo Nchini Afrika ya Kusini na (kushoto) Mhe.Togolani Mavura Nchini Korea Kusini.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi waliopishwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tannzania Nchi mbali mbali walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi waliopishwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tannzania Nchi katika mbali mbali walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,(kushoto) Mhe.Balozi Togolani Mavura Nchini Korea Kusini,Mhe.Anisa Mbega Nchini India na Mhe.Innocent Shiyo Nchini Afrika ya Kusini pia na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said (kulia).[Picha na Ikulu.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here