Home LOCAL RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SALA YA IJUMAA

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SALA YA IJUMAA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk .Hussein Ali Mwinyi ( kushoto) akteta na Viongozi wa Dini baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa Iliyoswaliwa leo Masjid Jamiu Zinjibar mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu]01/10/2021. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk .Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa Iliyoswaliwa leo Masjid Jamiu Zinjibar mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu]01/10/2021.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here