Home SPORTS NDAYIRAGIJE ATIMULIWA GEITA GOLD

NDAYIRAGIJE ATIMULIWA GEITA GOLD

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na:Stella Kessy.

Kocha mkuu wa klabu ya Geita Gold Etienne Ndayiragije ametimuliwa kazi baada ya kushindwa kupata ushindi kwenye michezo minne ya ligi kuu mpaka sasa.

Hata hivyo timu itabaki chini ya kocha Minziro.