Home SPORTS NBC MDHAMINI MKUU WA LIGI KUU TANZANIA BARA.

NBC MDHAMINI MKUU WA LIGI KUU TANZANIA BARA.

Mwandishi wetu.

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) limemtambulisha Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambaye ni Beki ya NBC.

Kwa sasa  Ligi Kuu Tanzania itafahamika kwa jina la NBC Premier League baada ya kusaini mkataba na TFF wenye thamani ya bilioni 2.5.

Mkataba huo umetiwa saini na Rais wa TFF, Wallace Karia  na Mkurugenzi wa NBC Theobald Sabi ambaye amesaini kwa upande wa Benki hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here