Home SPORTS KIKOSI CHA UFUKWENI CHATANGAZWA.

KIKOSI CHA UFUKWENI CHATANGAZWA.

Na: Stella kessy, DAR ES SALAAM.

Kocha mkuu wa soka la ufukweni Boniface Pawasa ametangaza kikosi cha jumla ya wachezaji 20 wataoshiriki katika michuano ya COSAFA  inayotarajiwa kuanza Afrika kusini  Novemba 8 mwaka huu.

Amesema kuwa kikosi kitaingia kambini  Oktoba 18  kwa ajili ya kambi ya kujiandaa katika michuano hiyo.

Hata hivyo amesema kuwa  Tanzania ilikiwa katika nafasi ya 72 lakini sasa ipo katika nafasi ya 7 Barani Afrika na nafasi ya 42 Duniani katika mchezo wa soka la ufukweni.

MAKIPA.

1. Adam Oseja

2.Hussen  Jebra Mtagwa

3.Andrea Ntala

4.Derick Charles

MABEKI.

1.Erick Manyama

2.Ismail Gambo

3.Ramadhani Said

4.Sadick Salum Max

5.Nassor Hussen Nassor

VIUNGO.

1.Jaruph Rajab

2.Mtoro Nassoro

3.Ashraf Ally  Kombo

4.Kimombo

5.Salum Nyemba

6.Ibrahim Ibadi

7.Maulid  Issah

WASHAMBULIAJI.

1.Stephano  Mapunda

2.Goodluck Aguero

3.Yahaya Tumbo

4.Hakhim Rajab

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here