Home LOCAL WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TANZANIA RED CROSS SOCIETY

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TANZANIA RED CROSS SOCIETY

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Tanzania Red Cross Society  ambao walikwenda  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa  jijini Dodoma kutoa taarifa mbalimbali wanazozifanya nchini, Septemba 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Rais wa Tanzania Red Cross Society, Mhe. David Kihenzile Tuzo ya Red Cross Society baada ya mazungumzo yake na viongozi wa Chama hicho ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, September 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tanzania Red Cross Society baada ya kuzungumza nao ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Previous articleWAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA DKT. STERGOMENA TAX
Next articleRC MKIRIKITI: TMDA ELIMISHENI VIONGOZI WA VIJIJI KUDHIBITI MADAWA NA VIFAA TIBA MIPAKANI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here