Home BUSINESS UJUMBE WA WACHUNGAJI KUTOKA MAREKANI WATEMBELEA BRELA MAONESHO YA MADINI GEITA.

UJUMBE WA WACHUNGAJI KUTOKA MAREKANI WATEMBELEA BRELA MAONESHO YA MADINI GEITA.

Ujumbe wa wachungaji kutoka nchini Marekani wakipata maelezo kutoka kwa ofisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Yusuph Nakapala, juu ya utaratibu unaotumika kupata leseni ya biashara na usajili wa kampuni. Ujumbe huo ulioongozwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (hayupo pichani) ulifika katika Clinic ya biashara kwenye maonesho ya Nne ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea mkoani Geita.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Yusuph Nakapala alipofika katika meza ya BRELA katika banda la Clinic ya biashara kwenye maonesho ya Nne ya Teknolojia kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea mkoani Geita. Mhe. Gabriel aliambatana na ujumbe wa wachungaji kutoka Marekani (hawapo pichani) ambao walikuja kujifunza na kuangalia fursa za uwekezaji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here