Home SPORTS TANZANITE YAICHAPA ERITREA 3-0

TANZANITE YAICHAPA ERITREA 3-0

 Mwandishi wetu

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Eritrea leo Uwanja wa Asmara Jijini Asmara.

Katika mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia mwakani Costa Rica.

Tanzanite inafunga safari kurejea Dar es Salaam kujipanga kwa mchezo wa marudiano Oktoba 9 nchini.