Home SPORTS SIMBA YASAINI MKATABA NA ATCL

SIMBA YASAINI MKATABA NA ATCL

Mwandishi wetu,Dar es Salaam

UONGOZI wa Klabu ya Simba SC  leo wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) ambao utakuwa na manufaa kwa pande zote.

Mkataba huo ambao Simba itaweza  kusafiri ndani ya Tanzania kwa ndege za shirika hilo pekee ikiwa katika safari zake.

Hata hivyo imetajwa kuwa mkataba huo uana thamani ya shilingi milioni 400,Mkataba huo umesainiwa leo  na utadumu Muda wa miaka miwili kwa ushirikiano.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here