Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Ratiba ya kumpumzisha Zakaria Hans Poppe aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ndani ya timu ya Simba aliyefariki Dunia usiku wa Septemba 10,2021 katika hospital ya Aghakhan Jijini Dar es Salaam.