Home LOCAL RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA WACHUNGAJI ,MAASKOFU NA MAADHIMISHO YA MIAKA 50...

RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA WACHUNGAJI ,MAASKOFU NA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA ANGLKANA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Maadhimisho ya Miaka 50 Kanisa hilo katika Viwanja vya Chuo Kikuu ST. John’s yaliyofanyika leo September 28,2021 Jijji Dodoma.


Baadhi ya washiriki wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,wakati akifungua Kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Maadhimisho ya Miaka 50 Kanisa hilo katika Viwanja vya Chuo Kikuu ST. John’s yaliyofanyika leo September 28,2021 Jijji Dodoma.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here