Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU...

MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UN


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Sept 21,2021 ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaofanyika Jijini New York Marekani. Wa pili kushoto Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula. PICHA NA IKULU.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here