Home BUSINESS MAONESHO YA TATU YA KITAIFA YA SIDO WILAYANI KASULU

MAONESHO YA TATU YA KITAIFA YA SIDO WILAYANI KASULU



Ofisa Leseni kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Rajab Chambega, akitoa elimu kwa wajasiriamali juu ya umuhimu wa kurasimisha biashara zao , alipowatembelea katika maeneo yao ya biashara katika Maonesho ya Tatu ya SIDO Kitaifa , yanayofanyika katika uwanja wa Umoja uliopo Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma. Maonesho haya yaliyoanza tarehe 21 Septemba, 2021 yatahitimishwa leo tarehe 30 Septemba, 2021.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here