Home LOCAL MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Septemba 7, 2021.


Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Septemba 7, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here