Home SPORTS WEKUNDU WA MSIMBAZI WALIVYOONDKA NCHINI KWENDA MOROCCO KWA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

WEKUNDU WA MSIMBAZI WALIVYOONDKA NCHINI KWENDA MOROCCO KWA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameondoka mchana wa leo kwenda nchini Morocco kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya.

Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kurejea nchini baada ya wiki kwa maandalizi ya mwisho na kitafanya tamasha lake maalum la kila mwaka, Simba Day Agosti 28.