Home BUSINESS WATAKIWA KUKUSANYA MAONI YA MAPITIO YA SHERIA YA LESENI

WATAKIWA KUKUSANYA MAONI YA MAPITIO YA SHERIA YA LESENI

 

DODOMA.

Katibu MKUU wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.  Dotto  James amewataka Maafisa Biashara nchini, kukusanya maoni kuhusiana na mapitio ya sheria ya Leseni

wanayodai imepitwa na wakati, ili iweze  kufanyiwa marekebisho na hatimaye kukidhi mahitaji na kwenda na wakati. 

Ameyasema hayo wakati akifunga mafunzo kwa maafisa biashara yaliyotolewa na Wakala wa usajili wa biashara na leseni (BRELA) kwa maafisa biashara wa mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida yaliyofanyika Jijini Didoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here