Home BUSINESS SOKO LA DHAHABU MBOGWE LAWANUFAISHA WACHIMBAJI WADOGO

SOKO LA DHAHABU MBOGWE LAWANUFAISHA WACHIMBAJI WADOGO

 

Na, Saimon Mghendi,Mbogwe

Imeelezwa kuwa kuwepo kwa soko la  madini ya dhahabu katika mkoa wa kimadini wa Mbogwe katika  Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, limeleta mabadiliko makubwa katika sekta ya madini hayo hususa ni kuwawezesha wachimbaji wadogo kupata sehemu ya huakika ya kuzia madini yao jambo ambalo limepelekea wachimbaji hao kunufaika Zaidi Pamoja na serekali kupata kipato.

Mwenyekiti wa soko Joseph Sinda amefafanua hayo jana wakati akiongea na waandishi wa Habari ofisini kwake na kuongeza kuwa wafanyabiashara wa madini wanaipongeza serekali kwa kuanzisha mfumo wa masoko ya kuuzia madini nchini.

Aidha Mwenyekit huyo wa soko amesema kuwa soko la madini la Mbogwe linawastani wa kununua madini kilo mbili mpaka mpaka tatu kwa siku.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here