Home LOCAL RAIS SAMIA AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO KIZIMKAZI ZANZIBAR

RAIS SAMIA AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO KIZIMKAZI ZANZIBAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Maendeleo Kizimkazi iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB leo Agosti 28,2021 kwenye Tamasha la Kizimkazi zilizofanyika leo tarehe 28 Agosti 2021 katika Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Skuli ya maandalizi Kizimkazi katika Tamasha la Kizimkazi Sherehe ya Siku ya Wakizimkazi zilizofanyika leo tarehe 28 Agosti 2021 katika Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kwa ajili ya kupokea rasmi Ambules iliyotolewa kwa ufadhili wa Benki ya NBC kwa ajili ya kutoa huduma katika Kijiji cha Kizimkazi kwenye Tamasha la Kizimkazi lililofanyika tarehe 28 Agosti 2021 katika Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Vyakula vya Asili vya aina mbalimbali kwenye Tamasha la kizimkazi lililofanyika leo tarehe 28 Agosti 2021 katika Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi Nyumba za Madaktari na Jengo la Ofisi ya Maendeleo Kizimkazi katika Tamsha la Kizimkazi zilililofanyika leo tarehe 28 Agosti 2021 katika Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifurahia mashindano ya mchezo wa kuvuta Kamba kati ya Timu za Vijana Wanawake na Wanaume katika Kijiji cha Kizimkazi, kwenye Tamasha la kizimkazi lililofanyika tarehe 28 Agosti 2021 katika Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. PICHA NA IKULU.


Previous articleMWENGE WA UHURU WAHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MALIKALE MIKINDANI.
Next articleMSEMAJI MKUU WA SERIKALI MSIGWA ATOA TAARIFA YA MWISHO WA MWEZI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here