Home LOCAL RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza Mawaziri kusimama kwa dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hayati Elias John Kwandikwa kabla ya kuanza kwa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Agosti 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam. IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Agosti 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.

Previous articleRC MAKALLA AHIMIZA WANANCHI KUFANYA MAZOEZI.
Next articleMAGAZETI YA LEO J.TATU AGOSTI 9-2021

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here