Home LOCAL RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MTEULE WA ZAMBIA.

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MTEULE WA ZAMBIA.

Raais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 alipokuwa akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Mhe. Hakainde Hichilema. IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here