Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA 41 SADC ULIONZA LEO...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA 41 SADC ULIONZA LEO LILONGWE NCHINI MALAWI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulioanza leo tarehe 17 Agosti katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu uliopo Jijini Lilongwe nchini Malawi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan wapili kutoka (kulia) mstari wa mbele akiwa amesimama pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa 41 SADC ulioanza leo tarehe 17 Agosti katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu uliopo Jijini Lilongwe nchini Malawi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulioanza leo tarehe 17 Agosti katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu uliopo Jijini Lilongwe nchini Malawi. PICHA NA IKULU

Previous articleVIJANA MOROGORO WAUNGANA KUTEMBELEA WANAOISHI MAZINGIRA MAGUM
Next articleRAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here