Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AWASILI IKULU KIGALI RWANDA

MHE. RAIS SAMIA AWASILI IKULU KIGALI RWANDA

Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Viongozi mbalimbali wa Serikali yake alipowasili Ikulu Kigali Rwanda Leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitambulisha Ujumbea aliofuatana nao katika ziara yake ya siku mbili Nchini Rwanda kwa Rais Paul Kagame alipowasili Ikulu Kigali Nchini Rwanda Leo Agosti 02,2021.
Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais Paul Kagame wa Rwanda alipowasili Ikulu Kigali Rwanda leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame. IKULU.

Previous articleCHUO KIKUU CHA SUA CHAVUKA LENGO LA UDAHILI KWA WANAFUNZI KOZI YA NYUKI NA ASALI.
Next articleRC MAKALLA: BARAKOA NI LAZIMA KWENYE CHOMBO CHA USAFIRI, ATAKA LATRA KUSIMAMIA ‘LEVEL SEAT.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here