Home LOCAL MAJALIWA AKAGUA KITUO CHA AFYA CHA MISHAMO WILAYANI TANGANYIKA

MAJALIWA AKAGUA KITUO CHA AFYA CHA MISHAMO WILAYANI TANGANYIKA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kituo cha Afya cha Mishamo wilayani Tanganyika, Agosti 26, 2021. Alikuwa katika ziara ya kikazi mkoani Katatavi.

Wasanii wa kikundi cha ngoma cha Nka katika makazi ya wakimbizi ya Mishamo wilayani Tanganyika wakicheza ngoma wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokagua Kituo cha Afya cha Mishamo akiwa  katika ziara ya kikazi mkoani Katavi, Agosti 26, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Previous articleDC.BASILLA AAGIZA KUKAMATWA NA KUWEKWA NDANI KWA WAKUU WA IDARA MBILI WILAYANI KOROGWE
Next articleKAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YATEMBELEA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO KIKOMBO DODOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here