Home BUSINESS HABARI PICHA: MKUTANO WA SIKU TATU WA KIMATAIFA WA KAIZEN WAHITIMISHWA JIJINI...

HABARI PICHA: MKUTANO WA SIKU TATU WA KIMATAIFA WA KAIZEN WAHITIMISHWA JIJINI DAR

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Biashara zanzibar Mhe. Omar Said Shaban akizungumza wakati alipokuwa akitoa hotuba yake ya kufunga Mkutano wa KAIZEN Jijini Dar es Salaam. (PICHA NA: HUGHES DUGILO).
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akizungumza wakati wa kumkaribisha mgeni sami kutoa hotuba ya kufunga mkutano huo. (PICHA NA: HUGHES DUGILO).
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Viwanda Ramson Mwilanyari akitoa maelezo ya awali kwa wageni wa meza kuu na kumkaribisha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe kuzungumza. (PICHA NA: HUGHES DUGILO).

 

Washiriki Mmbalimbali waliohudhuria Mkutano huo wa siku tatu wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwa njia ya mtandano kutoka nchi wanachama wa KAIZEN Barani Afrika. (PICHA NA: HUGHES DUGILO).

Previous articleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI
Next articleVICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO IJUMAA AGOSTI 27-2021

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here