Home LOCAL ZANZIBAR YAPOKEA CHANJO YA COVID- 19 KUTOKA CHINA

ZANZIBAR YAPOKEA CHANJO YA COVID- 19 KUTOKA CHINA


Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban (kushoto) akipokea Chanjo COVID-19 ya aina ya SINOVAC kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahamed Mazrui kutoka kwa Balozi Mdogo wa China Zhang Zhisheng (kulia).

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban akifafanua kuhusu chanjo ya COVID-19 aina ya SINOVAC aliyoipokea kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee , Jinsia na Watoto Nassor Ahamed Mazrui kutoka kwa Balozi Mdogo wa China Zhang Zhisheng (wa kwanza kulia) hafla iliyofanyika Uwanja wa ndege wa Abeid A. Karume Zanzibar. 

Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Abdalla Sleiman Ali akijibu maswali ya Waandishi wa habari katika makabidhiano ya Chanjo ya aina COVID-19 ya SINOVAC kutoka kwa serikali ya china hafla iliyofanyika mara baada ya kuwasili Chanjo hiyo na ndege ya Ethopian katika Uwanja wa Ndege wa Abeid A. Karume Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA /MAEEZO ZANZIBAR.

Previous articleMHANDISI MASAUNI ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA
Next articleSERIKALI YAANZISHA MFUMO WA UOMBAJI LESENI YA TCRA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here