Home ENTERTAINMENTS PROF. KITILA MKUMBO MGENI RASMI TAMASHA LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR DAR.

PROF. KITILA MKUMBO MGENI RASMI TAMASHA LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR DAR.

NA: MWANDISHI WETU.

Waziri wa Viwanda na Biasha Kitila Mkumbo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maonyesho ya watoa huduma wa sherehe Adorable Wedding Trade Fair yanayo fanyika kila mwaka 

Maonyesho hayo yataafanyaki kwa muda wa siku tatu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam kuanzia Julai 16 mpaka 18.

Akizungumaza na waandishi wa habari muandaji wa maonyesho hayo Anna Lema, amesema maandali yamekamilika na mheshimiwa Waziri amethibitisha uwepo wake hivyo wadau wajitokeze kwa wingi.

“Maonyesho ya mwaka huu yatakuwa yatofauti tumeboresha vitu vingi kuanzia kwa wandaaji hadi watoa huduma mgeni rasma atakuwa Waziri wa Viwanda na Biasha Pro Kitila Mkumbo, amethibitisha kuwa na sisi hivyo wadau na watu wote tunawakaribisha kuhudhuria tamasha hili,” anasema Anna

Mbali na maonyesho hayo kutakuwa na droo itakayo chezeshwa kwa maharusi wataraji washindi watapata zawadi ya kufanyiwa harusi yao na watoa huduma hao.

Previous articleMJASIRIAMALI WA KAZI ZA MIKONO SARA LUTAHYA ATOA NENO KUMALIZIKA MAONESHO YA SABASABA
Next articleMEYA KUMBILAMOTOK KUZINDUAUPIMAJI AFYA BURE ZAHANATI YA ISMILLA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here