Home LOCAL NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA 16 YA ELIMU YA JUU NA KUTOA ELIMU...

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA 16 YA ELIMU YA JUU NA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO HAYO DAR.

Afisa Mwandamizi Uhusiano wa NSSF Rachel Hosea (kulia) akitoa Elimu juu ya Shughuli mbalimbaliza Mfuko huo kwenye Maonesho ya 16 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknologia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja Dar es Salaam ((kushoto) ni wadau waliofika kupata Elimu ya kujiunga na Mfuko huo Edwin Mitumba (mwenye shati nyeupe) na Dotto Manara (aliyevaa shati la mistari).

Afisa Mwandamizi Uhusiano wa NSSF Rachel Hosea(wa tatu kulia mwenye koti nyeusi) akiendelea na zoezi la kutoa Elimu kwa wananchi waliojitokeza kwenye Banda lao kwenye Maonesho hayo.

Afisa Mwandamizi Uhusiano wa NSSF Rachel Hosea (kulia) akimsikiliza kijana Edwin Mitumba (wa pili kushoto) alipokuwa akimuuliza maswali Afisa huyo juu ya mambo mbalimbali za Mfuko huo.

Afisa Mwandamizi Uhusiano wa NSSF Rachel Hosea (kulia) akizungumza ngugu Joshua Michael mwananchi aliyefika kupata maelezo ya namna ya kujiunga uanachama wa Mfuko huo kwenye Maonesho hayo Viwanja vya Mnazi mmoja Dar es Salaa.    

Afisa Mwandamizi Uhusiano wa NSSF Rachel Hosea (kulia) akimsikiliza kwa makini mwananchi huyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here