Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA SIMU NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE...

MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA SIMU NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani  Mhe. Antony Blinken, ambapo kwenye mazungumzo yao Waziri huyo amemhakikishia Mhe. Rais Samia kuwa Serikali ya Marekani itaendelea kukuza ushirikiano na Serikali ya Tanzania katika Nyanja mbalimbali za maendeleo leo Julai 06,2021 Ikulu Jijini Dodoma. Picha na Ikulu.

Previous articleWANANCHI MBALIMBALI WAENDELEA KUPATA ELIMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA KWENYE BANDA LA BoT
Next articlePURA YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI NA WADAU MAONESHO YA SABASABA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here