Home BUSINESS WADAU WAMIMINIKA BRELA KUSAJILI MAJINA YA BIASHARA NA MAKAMPUNI MAONESHO YA SABASABA

WADAU WAMIMINIKA BRELA KUSAJILI MAJINA YA BIASHARA NA MAKAMPUNI MAONESHO YA SABASABA

Wadau wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiendelea  kumiminika katika mabanda ya BRELA  ili kupata huduma za usajili wa majina ya biashara na makampuni na kukabidhidhiwa vyeti papo kwa papo. Tunaendelea kuwakaribisha wadau wote kufika katika mabanda ya BRELA   ndani ya jengo la Wizara ya Viwanda na nje ya jengo la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam ili kupata  huduma hizi muhimu kwa maendeleo ya taifa.


 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here