Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI...

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania TEC katika ukumbi wa AMECEA Kurasini, Dar es Salaam leo 25 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisisitiza jambo wakati akizungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania TEC katika ukumbi wa AMECEA Kurasini, Dar es Salaam leo 25 Juni, 2021.
Maaskofu wa Kanisa Kanisa Katoliki nchini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Makao Makuu ya Baraza hilo Kurasini, Dar es Salaam.
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini wakiwa wamesimama kushukuru mara baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Makao Makuu ya TEC Kurasini, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwengelo, alipokuwa akiwasili katika Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Kurasini,  Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Mbeya ambaye ni Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Gervas Nyaisonga alipokuwa akiwasili katika Makao Makuu (TEC) Kurasini, Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Jude Thaddeus Ruwa’ichi alipokuwa akiwasili katika Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Kurasini mkoani Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya ambaye pia ni Rais wa TEC Askofu Gervas Nyaisonga  baada ya kuzungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC katika ukumbi wa AMECEA Kurasini, Dar es Salaam leo 25 Juni, 2021 (Picha zote na Ikulu).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here