Home LOCAL RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA(SGR) YA...

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA(SGR) YA KM 341 YA MWANZA-ISAKA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge Railway (SGR) kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga katika sherehe zilizofanyika Fela mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2021. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma bango la jiwe la Msingi alilozindua la Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge Railway (SGR) kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga katika sherehe zilizofanyika Fela mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2021.

Wananchi wakishangilia uwekaji huo wa jiwe la msingi.

Baadhi ya viongozi wakiwa kwenye hafla hiyo. (Picha zote na Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here