Home LOCAL RAIS SAMIA AWAAPISHA BALOZI BATILDA BURIANI NA ZUWENA OMARY JIRI , IKULU...

RAIS SAMIA AWAAPISHA BALOZI BATILDA BURIANI NA ZUWENA OMARY JIRI , IKULU JIJINI DODOMA, LEO.

Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Batilda Salha Buriani kuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, leo.

Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Shinyanga, Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, leo. Picha: Ikulu

Previous articleMAGANGA MKUU WA SERIKALI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA AMANA.
Next articleWAZIRI UMMY MWALIMU, LIBETALA MULAMULA WASISITIZA UMUHIMU WA KUTUNZA MAZINGIRA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here