Home LOCAL RAIS SAMIA AENDA NCHINI MSUMBIJI, LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA NCHI...

RAIS SAMIA AENDA NCHINI MSUMBIJI, LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA NCHI ZA SADC UTAKAOFANYIKA KESHO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango (Kulia), katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 22,2021, alipokua akiondoka Nchini kwenda nchini Msumbiji  kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa kuanza kesho.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwapungia mkono Viongozi mbalimbali wa Serikali kuwaaga akiwa yupo kwenye Ndege, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 22,2021, alipokua akiondoka kwenda nchini kwenda Msumbiji  kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa kuanza kesho.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Previous articleKENANI KIHONGOSI ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
Next articleMGANGA MKUU WA SERIKALI AHIMIZA WATUMISHI WA AFYA KUFANYA KAZI KWA BIDII

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here