Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA CHELEZO KATIKA BANDARI YA MWANZA SOUTH...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA CHELEZO KATIKA BANDARI YA MWANZA SOUTH MKOANI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta na kukata utepe kuzindua Chelezo ambacho kinatumika kutengeneza Meli mpya ya MV Mwanza katika sherehe zilizofanyika katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka kuzindua Chelezo ambacho kinatumika kutengeneza Meli mpya ya MV Mwanza katika sherehe zilizofanyika katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua kwa pamoja Meli ya MV New Victoria pamoja na New Butiama ambazo zimekarabatiwa katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021. PICHA NA IKULU

Previous articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI HII LEO J.NNE JUNI 15-2021
Next articleRAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA DC MOROGORO NA MKURUNZI WAKE.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here