Home BUSINESS NYAISA AZUNGUMZIA UTENDAJI WA BRELA KWA KAMATI YA BUNGE DODOMA

NYAISA AZUNGUMZIA UTENDAJI WA BRELA KWA KAMATI YA BUNGE DODOMA

 

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Godfrey Nyaisa,  akiwasilisha mada na kutoa ufafanuzi kuhusu utendaji wa BRELA kwa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Viwanda Biashara na Mazingira,   mapema Juni 9, 2021 jijini  Dodoma. Kamati hiyo imeipongeza BRELA kwa  kwa kuboresha utendaji kazi, kwani kwa sasa huduma za usajili wa biashara na leseni zinafanyika kwa njia ya mtandao.

Previous articleJKT YAWAITA VIJANA WENGINE KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2021
Next articleWAFANYABIASHARA NCHINI WATAKIWA KUTUMIA BRELA KUSAJILI BIASHARA ZAO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here