Home BUSINESS NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AIPONGEZA STAMICO

NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AIPONGEZA STAMICO

Na: Mwandishi wetu.

Leo tarehe 4 June Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Geofrey Kasekenya Ametembelea banda la STAMICO katika Maonesho ya wiki ya Mazingira yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete.

Ameipongeza STAMICO kwa kubuni uzalishaji wa mkaa mbadala wa Makaa ya mawe ambao utakuwa ni mkombozi  kwa wananchi na kwa mazingira.

Ameitaka   STAMICO kutoa elimu  na kuwashirikisha wananchi katika shughuli za Uchimbaji zinazoendelea katika Mgodi wa Makaa ya mawe-Kabulo  uliopo Ileje-Songwe .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here