Home LOCAL NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI ILIYOUA WANNE NA...

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI ILIYOUA WANNE NA KUJERUHI 22 MKOANI SHINYANGA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akimuangalia mama na mtoto ambao ni majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akimuangalia mmoja wa  majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza na majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(kushoto) akisikiliza maelezo ya Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,Dkt.Augustino Maufi baada ya kumtembelea  mmoja wa  majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza  na ndugu wa majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here