Home INTERNATIONAL MZEE KENNETH KAUNDA RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA AFARIKI DUNIA.

MZEE KENNETH KAUNDA RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA AFARIKI DUNIA.

 
ZAMBIA.
Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda amefariki dunia leo akiwa na miaka 97.

Kenneth David Kaunda (anafahamika zaidi kama KK).

Siku chache zilizopita, Dk. Kaunda alilazwa katika Hospitali ya Maina Soko jijini Lusaka kufuatia maradhi yaliyokuwa yanamsumbua kwa siku kadhaa.

Kaunda aliyezaliwa April 28, 1924, aliitawala Zambia kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 1991

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here