Home LOCAL DKT. MPANGO APOKEA GAWIO LA SERIKALI LA BILIONI 21.7 KUTOKA NMB

DKT. MPANGO APOKEA GAWIO LA SERIKALI LA BILIONI 21.7 KUTOKA NMB

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango kwa Niaba ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi 21.7 Bilioni sawa na ongezeko la asilimia 43 kwa mwaka 2020 Gawio la Serikali kutoka katika Benki ya NMB leo Juni 18,2021 Jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Viongozi Wakuu wa Benki ya NMB muda mfupi baada ya kupokea mfano wa Hundi ya Shilingi 21.7 Bilioni sawa na ongezeko la asilimia 43 kwa mwaka 2020 Gawio la Serikali kutoka katika Benki ya NMB leo Juni 18,2021 Jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akiagana na Viongozi Wakuu wa Benki ya NMB muda mfupi baada ya kupokea mfano wa Hundi ya Shilingi 21.7 Bilioni sawa na ongezeko la asilimia 43 kwa mwaka 2020 Gawio la Serikali kutoka katika Benki ya NMB leo Juni 18,2021 Jijini Dodoma.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here