Home LOCAL DC BASILA MWANUKUZI AKABIDHIWA OFISI KOROGWE.

DC BASILA MWANUKUZI AKABIDHIWA OFISI KOROGWE.

KOROGWE- TANGA.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Basilla Mwanukuzi,   28 June, amekabidhiwa ofisi rasmi na aliyekua Mkuu wa wilaya hiyo Kisa Gwakisa ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe.

Mara baada ya  makabidhiano Basilla alianza kazi kwa kuonana na wadau mbali mbali na kuanza kushughulikia maswala muhimu ya maendeleo yaliyokua juu ya dawati la Mkuu wa wilaya.

Ikumbukwe kuwa kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu kumteuwa Basila Mwanukuzi kuwa Mkuu wa wilaya ya Korogwe, alikuwa muandaaji wa shindano la Miss Tanzania kupitia kampuni yake ya The Look Company Limited.
Previous articleWAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMEITAKA FCC KUWEKA MAZINGIRA BORA YA UDHIBITI WA USHINDANI WA BIASHARA NCHINI
Next articleKAMATI YA UCHAGUZI WA (NaCoNGO) YATANGAZA RATIBA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU JULAI 8, 2021.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here