Home BUSINESS BRELA YAZIDI KUVUTIA WANANCHI MAONESHO YA BIASHARA JIJINI TANGA.

BRELA YAZIDI KUVUTIA WANANCHI MAONESHO YA BIASHARA JIJINI TANGA.

Wadau wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiendelea kupata huduma mbalimbali katika banda la BRELA  kwenye maonesho ya Biashara  yanayoendelea katika uwanja wa  Mwahako jijini Tanga. Maonesho haya yaliyoanza Mei 28, 2021 na kufunguliwa na  Naibu Waziri wa  Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb), yatahitimishwa rasmi  Juni 6, 2021


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here