Home LOCAL WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO...

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara hiyo kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Kamishna wa Polisi, Lucas Mkondya akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John  Masunga akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Suleiman Mzee akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkurugenzi wa Sera na Mipango ,Wanja Mtawazo akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama muda mfupi kabla ya kuanza Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara hiyo kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here