 |
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021. |
 |
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai awaongoza Waheshimiwa Wabunge katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021 |
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
 |
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) baada ya futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa Waheshimiwa Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma, Mei 04, 2021, Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Ndg. Ally Laay |
 |
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Viongozi Wakuu wa Bunge, Viongozi wa Serikali, Waheshimiwa Wabunge, Watendaji wa Benki ya CRDB pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Bunge Baada ya futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021 |
 |
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (watatu kulia waliokaa) katika picha ya pamoja na Viongozi Wakuu wa Bunge, Viongozi wa Serikali na Watendaji Wakuu wa Benki ya CRDB baada ya futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021, Kushoto aliesimama ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia aliesimama) |