Home LOCAL RC MAKALLA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI JAFO.

RC MAKALLA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI JAFO.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo May 31 ametembelewa ofisini kwake na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Suleiman Jaffo na kufanya mazungumzo mbalimbali hususani jitiada za kuboresha Mazingira Jijini Dar es salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here