Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021katika Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara, Philip Mangula, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021.
 .Viongozi wa Kidini, Viongozi Wakuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa katika ukumbi wa Mlimani City kabla ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohutubia Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.
  .Viongozi wa Kidini, Viongozi Wakuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiomba Dua kabla ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohutubia Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.

     Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam waliofika kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam 

PICHA NA IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here