Home LOCAL RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MRATIBU MKAZI WA UN NCHINI TANZANIA.

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MRATIBU MKAZI WA UN NCHINI TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania,Bw. Zlatan Milisic, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania.Bw. Zlatan Milisic, wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, alipofika kujitambulisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania (UN) Bw.Zlatan Milisic, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 20-5-2021,mazungumzo yaliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na mgeni wake Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here