Home LOCAL MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN...

MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI AKIWA KATIKA ZIARA YAKE LEO MJINI MAGHARIBI.

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana, alipowasili katika viwanja vya CCM Mkoa wa Mjini Amaan Kichama, akiwa katika ziara yake kuzungumza na kutowa shukrani kwa Viongozi wa CCM.(P

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama, akiwa katika ziara yake.(Picha na Ikulu)

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa ziara yake kutowa shukrani zake kwa Viongozi hao, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Mjini Kichama wakiwa katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Mjini Amanin wakati wa ziara ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kuzungumza na kutoa shukrani kwa Viongozi wa CCM na Mabalozi wa Mkoa huo.(Picha na Ikulu)

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasalimiana Wananchi na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama, alipowasili katika viwanja vya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani, akiwa katika ziara yake ya Kichama kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM.(Picha na Ikulu)

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwashukuru Viongozi wa CCM na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama akiwa katika ziara yake kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Kichama.(Picha na Ikulu)

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akikabidhiwa Risala ya Wanachama wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichana na Katibu wa CCM Nkoa wa Mjini Chima Ndg. Abdalla Mwinyi Hassan, akiwa katika ziara yake ya Kichama.(Picha na Ikulu)

Previous articleWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT.NDUMBARO KUWASHAWISHI MAWAZIRI KUJIFUNZA MCHEZO WA GOFU
Next articleJESHI LA POLISI MKOA WA KAGERA LAENDELEA NA UCHUNGUZI NA KITU KILICHODAIWA NI BOMU KUWALIPUKIA WATOTO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here