Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ALIVYOHITIMISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ALIVYOHITIMISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUHIGWE

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akihutubia Mkutano wa ufungaji  Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Buhigwe kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa kiti cha Ubunge unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 16 Mei 2021, kutokana na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Philip Isdor Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Buhigwe Wilayani Buhigwe MKoani  Kigoma Mhe. Felix  Kavejuru kwenye Mkutano wa ufungaji wa  Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo  wa Ubunge unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 16 Mei 22021, kufuatia aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Philip Isdor Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ufungaji wa Mkutano huo umefanyika leo Mei 15,2021 katika Uwanja wa Muyama Buhigwe Kigoma.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiagana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Buhigwe Mkoani Kigoma katika Uwanja wa Muyama baada ya kufunga Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Buhigwe kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa kiti cha Ubunge unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 16 Mei 2021, kutokana na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Philip Isdor Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 15,2021.

Previous articleKONGAMANO LA URITHI WA UKOMBOZI BARA LA AFRIKA KUFANYIKA TANZANIA
Next articleTIMU YA YANGA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here