Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AHUTUBIA NA KUFUNGA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA SOKOINE...

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AHUTUBIA NA KUFUNGA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA SOKOINE MOROGORO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akifunga Wiki ya Maadhimisho ya 17 ya Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine leo Mei 27,2021 katika Kampasi ya Moringe Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro SUA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiagana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro SUA Mhe. Jaji Warioba baada ya kufunga Wiki ya Maadhimisho ya 17 ya Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine leo Mei 27,2021 katika Kampasi ya Moringe Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro SUA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here